SIKU KUU YA KRISMASI ILIVYOBADILI MAWAZO YA STEVE JOBS
.
Muanzilishi wa kampuni ya "Apple" "Steve Jobs" kwa kushirikiana "George Lucas" muongozaji wa filamu miaka ya 80 walifanya uwekezaji kwenye biashara ya filamu za katuni (animation).
.
Mwanzo iliwaingizia hasara sana,hali hiyo ilimchosha Steve Jobs mpaka aliwaza kuiuza kampuni na kuachana kabisa na biashara hiyo.
.
"George Lucas" alimshauri Jobs kuwa msimu wa siku kuu ya Krismasi ni mzuri kwao kibiashara.Aliafikiana na George Lucas hivyo alitoa nafasi ya mwisho.
.
Kwenye siku kuu ya Krismasi ya mwaka 1995 waliingiza sokoni filamu ya katuni ya "Toy story".Filamu hiyo iliwaingizia faida kubwa ambayo hawakuitarajia.
.
Na huo ndio ulikuwa mwisho wa Steve Jobs kuwaza kuiuza kampuni.
.
SIKU KUU YA KRISMASI ILIVYOBADILI MAWAZO YA STEVE JOBS
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment