QUANTUM IMMORTALITY


Bila shaka katika kuishi kwako Umewahi Kusikia Habari za kwamba Kuna watu ambao wame shindikana kwenye suala la kifo, yaani wao huwa hawafi kwa wapenzi wa movie Ni dhairi Shaili mna fahamu hawa watu, Ni Maarufu sana kwa jina la IMMORTAL. -
Unaweza Ukawa Una Jiuliza kwanini huwa hawafi?
Twende kwenye Sayansi kidogo, kuna theory inaitwa QUANTUM IMMORTALITY.
Hapo Naona Kuna Muunganiko na Terminology mbili ya Physics na Biology. -
Kwa Tafsiri isiyo rasmi tunaweza kusema Ni Ulimwengu mwingine,
Mambo yanakua hivi, ingawa Ni Vigumu kwa mimi na wewe tunao endelea kuvuta pumzi ya Mwenyezi Mungu kuthibitisha hili
-
Kadri ya Tafiti zilizo fanywa na wakina Hans Maravec 1987 na ule wa Bruno Marchal 1988, ambao walifanyiwa Immortal kulikua na Majibu yafuatayo. -
Wana sema kwamba Mtu anapo karibia kifo Kuna hali mbili zina mtokea, Hali ya kwanza Ni kukikubali hicho kifo na hali ya pili Ni kukikataa, either akili yake au Moyo Wake Una kikataa katika maana mtu huyo anakua hayupo tayari kufa.
-
Kwa Mfano limetegwa bomu pembeni yako unapo Shituka ndo Lina lipuka sasa unapo hisi utakufa Kuna Uwezekano Mkubwa Wa kufa lakini unapo hisi hauto kufa hauto kufa. -
Utakuta mtu ana zimia kwa muda mrefu sana, ikitokea ame amka inawezekana akawa Immortal au hasiwe Immortal, inakuaje akawa Immortal? Pale anapo kwepa kifo anaelekea kwenye Alternaltive Universe (Ulimwengu Mbadala) akishaenda huko moja kwa moja una geuka kuwa immortal, sifahamu Kiimani Ulimwengu Mbadala ndo Ulimwengu upi.! -
Huko kwenye Ulimwengu Mbadala Kuna multiverse au metaverse yaani mtu anakua anaishi katika Ulimwengu miwili, huu wa kwetu na huo Ulimwengu Mbadala(Alternative Universe).
Mara Baada Ya Mtu kupotelea kwenye Ulimwengu mbadala, uhalisia wake unakua huko kwenye Ulimwengu Ambao anakua ameenda, Lakini huyu mtu Asilimia kubwa Ya maisha yake yanakua katika huu Ulimwengu wa kawaida, -
Mtu wa mtindo huu
ana amini yeye yupo katika Ulimwengu wa kawaida na anatakiwa kuwa katika Ulimwengu wa kawaida, lakini wakati huo wote anakua hajielewi. -
Mara nyingi anapo fika katika Ulimwengu wa kawaida ana fika kujitafuta yeye mwenyewe, Mara Nyingi ina kuwa rahisi kwa mtu huyu kuamini kila anaye muona mbele yake ndo yeye, kama Una fuatilia vizuri immortal Wana Asili ya Fujo Fujo, hii inakuwa katika hali kujirudisha katika Ulimwengu wake wa awali. -
Na kwasababu huyu mtu tayari amesha ondoka katika Ulimwengu huu wa kawaida, uwezi uka ondoka uhai wake pindi anapo kuwa katika Ulimwengu huu wa kawaida, Hapo ndipo msingi mzima wa QUANTUM IMMORTALITY, -
Hivyo ili aweze kuuawa ana Takiwa awe katika Alternative Universe, Ni wakati gani anakua katika Ulimwengu mbadala? Si jambo rahisi kufahamu, lakini Kuna wakati huyu mtu utakuta yupo katika Ulimwengu wa kawaida lakini wakati huo ana hitajika kuwa katika Ulimwengu mbadala. -
Hapo ndipo anapo geuka mbogo atafanya Fujo sana mwisho ana tulia na wakati mwingine Wana Poteza fahamu sasa hapo kuna uwezekano mkubwa wa kuwa tayari amesha rudi kwenye Ulimwengu mbadala na huu ndo muda pekee ambao uhai wake unaweza kutolewa ingawa wakati mwingine anakua bado katika Ulimwengu wa kawaida.
-

No comments:

Post a Comment

Active Visitors

Pages