OVERTOUN BRIDGE

OVERTOUN BRIDGE
Hili Ni Daraja Linalo Patikana United Kindom Huko Nchini Scotland, Ujenzi wa Daraja Hili uli kamilika Mnamo Mwaka1895 Lili buniwa na msanifu wa majengo Bwana H. E. Milner.
-
Kwa Sasa Daraja Hili Ni Maarufu sana kwa jina la DOG SUCIDE BRIDGE, Imekuwa Kawaida Sana Kwa Mwanadamu Kuchukua Maamuzi mazito ya kujitoa Tunu kubwa ya Uhai Tulio Jaaliwa na Mwenyezi Mungu kutoka na sababu Mbali Mbali. -
Wengine Wana Jirusha kwenye Maghorofa, Kwenye Madaraja, Kujinyonga, Kunywa sumu na mambo mengine yanayo pelekea uhai kutoweka. -
Lakini imekuwa kinyume sana katika Daraja Hili la OVERTOUN, Ni Daraja Lenye Urefu Wa Futi 50 ambazo kwa haraka Ni kama Mita hivi 15 kuelekea chini, Una ambiwa hili ni Daraja Linalo Tumiwa Na Mbwa kujitoa uhai. -
Zaidi ya Mbwa 600 wamesha jitoa uhai kwa kujirusha kwenye Daraja Hili la OVERTOUN,
Ipo hivi mbwa akiwa na hasira labla kanyimwa na jike kumpanda anaenda kwenye Daraja Hili na kujirusha, Mbwa akipigwa na mwenzie anaenda kwenye Daraja Hili kujirusha, Aki karipiwa na mmiliki wake anaenda kwenye Daraja Hili na kujirusha kifupi mbwa akisha kasirika tu nenda kashuhudie kifo chake kwenye OVERTOUN BRIDGE. -
Wakati Mwingine hata ukiwa Una pita nae tu kwenye hili Daraja la OVERTOUN mbwa ana ng'ang'ana kujirusha, kwa mara ya kwanza kabisa kitendo hiki kilitokea mnamo Miaka ya 1950 mbwa mmoja alikuwa akikimbia kwa kasi ya Ajabu alienda kujirusha katika Daraja hilo na haku onekana tena. -
Kama Ilivyo kawaida Kunapo Jambo Kuna mambo, Katika suala hili kila mtu ana eleza sababu zake, lakini moja kati ya sababu inayotajwa sana Ni kwamba inawezekana Kuna kitoweo kizuri na kinono kina patikana chini ya hilo Daraja, -
Lakini Je Hicho kitoweo kipo karne zote hizi? Swali Nyingine Je kwanini kila mbwa anaenda kujirusha sehemu hiyo hata wale ambao hawakuwahi kupitia sehemu hiyo? -
Ingekua inatokea kwa binadamu tungesema labla Kuna VOICE OF DEATH au SPIRIT OF DEATH kwa Mbwa Tusemeje?
R.I.P DOGS -

MWISHO -

No comments:

Post a Comment

Active Visitors

Pages