DR. ROBERT CHARLES GALLO.
Dr. Robert Charles Gallo alizaliwa march 1937 huko marekani. Daktari na Mtafiti
Kama hujawahi kumsikia huyu ndiye binadamu na Mmarekani aliyetengeneza na Kugundua virusi vya UKIMWI. Alifanya tafiti zake na kugundua virusi hivi mara baada ya kifo cha dada yake kufariki kwa kansa ya Damu , inadaiwa kifo hichi cha dada yake ndo kilifanya na kumsukuma akasomee udaktari . Virusi hivi vilitengenezwa kwa nia ya kuwamaliza watu weusi Marekani na duniani kote Na Inasemekan Hii ni Moja Ya conspiracy Theory Ya Artificial Diseases.
Moja ya nukuu za mwanasayansi huyu Robert Gallo aliwahi kusema hadharani "Nimetengeneza HIV ili mpungue duniani"
Taasisi yake kati ya 2007-2011 ilipokea zaidi ya Bilioni 70 ili kutengeneza kinga na tiba ya ugonjwa huu ambapo inadaiwa kuna dalili na matumaini ya kupata suluhu ya Tiba Juu ya Virus Hivyo.
Mwanzilishi wa Ugonjwa wa Ukimwi (HIV) DR. ROBERT CHARLES GALLO.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment