Jeremy Harper, kutoka Birmingham, huyu Ndie Mtu anaeshikiria Record ya kuhesabu namba kwa Sauti mpaka kufikia 1,000,000...Alitumia miezi mitatu(3), hati kufikia 1,000,000.. Aliingia kwenye kitabu cha Guiness cha record za dunia.
Mtu anaeshikiria Record ya kuhesabu namba kwa Sauti mpaka kufikia 1,000,000...Alitumia miezi mitatu(3),
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment