Good news Tanzania 🇹🇿!!
Kwa mara ya kwanza kabisa
msanii kutoka Tanzania Mbosso amepata nafasi ya kipekee ya kuwania tunzo kubwa za Africa: SOUNDCITY MVP AWARDs FESTIVAL 2019 kwenye kipengele cha BEST NEW ARTISTE. Licha ya furaha tuliyonayo tunaamini support yenu ndiyo itakayotuwezesha kuileta tunzo hii nyumbani, hivyo kwa umoja wetu tuungane kumpigia kura mwenzetu ili aweze kuileta tunzo hii nyumbani.Kwa mara ya kwanza kabisa
JINSI YA KUPIGA KURA:
1. Gusa link kwenye bio ya @mbosso_ au Tembelea www.soundcitymvp.com2. Chagua VOTE NOW.
3. Shuka chini mpaka kwenye kipengele cha BEST NEW ARTISTE.
4. Kisha chagua MBOSSO anaeonekana kwenye picha ili kupiga kura. Kwa pamoja tuungane kumpigia kura Mbosso ili aweze kuileta Tunzo ya SOUNDCITY MVP AWARD: BEST NEW ARTISTE nyumbani 🇹🇿🙏🏽. Ukisha piga kura, chukua screenshot, iposti Instagram kisha ututagi @wcb_wasafi @mbosso_ @msbrowntz na (#) hashtag zifuatazo:
#MbossoForBestNewArtiste#MbossoForSoundcityMVP
#AfircaIsNow
#LetsBringItHome🇹🇿 Kwa updates zaidi kuhusiana na tunzo hizi na mwisho wa kupiga kura follow @soundcitymvp.

No comments:
Post a Comment