Mnamo mwaka 2007..........

Mnamo mwaka 2007, Nchini bosnia , mtu mmoja alie kuwa na miaka 47, alie itwa Amir vehabovic, alidanganya amekufa ,lengo lake lilikuwa ni kuona watu wangapi wata udhuria madhishi yake ili kujua kama anathaminiwa.

Amiri alitengeneza mtu bandia mwenye ufanano kama wake, akiwa na maana kama ndio maiti yake na kuiweka kwenye jeneza, kisha yeye mwenyewe ,kujifanyia majengenezo ya kujibadilisha muonekano(makeup) ili asijulikane na kujifanya kama nirafiki wa marehemu Amiri na kutoa taarifa kwa watu wake wa karibu ikiwemo ndugu.

Chaajabu siku ya madhishi, alijitokeza mama yake pekee,na yeye mwenyewe ambapo alikuwa amebadili muonekano na kujifanya kama rafiki wa marehemu, hakuna rafiki wala ndugu wengine walio fika hapo.

Baada ya kuona hivyo, amiri aliandika barua ,yenye ujumbe wa kuwakashifu ndugu, jamaa na rafiki ambao hawakujitokeza na kusema kuwa alifake kifo.

No comments:

Post a Comment

Active Visitors

Pages