Roberto Nevilis alikuwa ni mwalimu kutoka Italia ndiye aliyeanzisha "HomeWork" (Kazi Nyumbani) kwa Wanafunzi wake mwaka 1905. Alifanya hivyo kama Adhabu kwa wanafunzi kutokana na maendeleo mabovu kitaaluma.
N.B: Ukisoma Baadhi Ya Sources Zinataja Ni Mwaka 1905 Na Sources Zingine Ni 1095.....Nimepitia Sources Zote Zinachanganya Ila Ambayo Nimeona Ni Reliable Kimtindo Ni Ambayo Imetaja 1905.
No comments:
Post a Comment