Machache Kuhusu Ngiri

Ngiri, huweza kuzaa mpaka watoto 8. Lakini mara nyingi huzaa Watoto 4. Kila mtoto hunyonya Nyonyo lake pekee tu. Ikitokea mtoto mmoja kafa,  waliobaki hawatanyonya Nyonyo aliloacha mpaka Uzao mwingine

No comments:

Post a Comment

Active Visitors

Pages