LAKE ABOVE THE OCEAN(ZIWA JUU YA BAHARI)

LAKE ABOVE THE OCEAN(ZIWA JUU YA BAHARI)
Huko Kati ya Iceland na Norway Kuna Ziwa Kubwa lipo katika ardhi ya Faroe Na Wanaliita Ziwa Sørvágsvantn au Leitisvatn Iko Mita Takriban Thelathini Kutoka usawa Wa Bahari Inayojikana kama North Atlantic .
Walilipatia Jina Hilo Kutokana na Wat Waliokuwa Wakiishi maeneo Hayo (Sørvágur) na Wanakijiji wa Midvágur walilibadilisha Jina Na Kuliita Leitisvatn Sababu Ziwa Hilo Liko Karibu na Ardhi Ya Leiti.

No comments:

Post a Comment

Active Visitors

Pages