Mshitakiwa Na Mahabusu Bwana Anthony Ray Stockelman katika hali Isiyo ya Kawaida Alijikuta Amechorwa Tattoo yenye Maneno ya "KATIE'S REVENGE" ikiwa na Maana ya Kisasi cha KATIE. -
Hii ilikua mara Baada ya Kuhusika na Kifo cha Binti aliyekuwa na Umri wa miaka 10 aliye Fahamika Kwa jina la Katlyn Collman maarufu kama KATIE.
Bwana huyo alizua Gumzo mara Baada ya kufika Gerezani huku akiwa Amechorwa Tattoo kwenye paji la uso wake. -
Mara Baada ya kugeuka kituko, kivutio na kuwaogopesha baadhi ya wafungwa wenzie, Bwana Anthony aliitwa na maafisa wa Gereza hilo kwaajili ya mahojiano na kutoa Maelezo,
Bwana Anthony katika maelezo yake alidai kuwa alichorwa Tattoo hiyo na Bwana Jared Harris ambaye Ni Binamu wa Marehemu Katie. -
Lakini Cha Ajabu hata Mfungwa mwenzie Anthony ambaye naye ali husika na kifo hicho alikua ana Tattoo kama hiyo kwenye paji la uso wake. -
MWISHO -

No comments:
Post a Comment