Halloween (Hallows Evening). Hii ni Sherehe /tamasha linalo azimishwa tarehe 31, mwezi wa 10, kwa kila mwaka. Sherehe hii, inajulikana na kuazimishwa kama siku ya kuwakumbuka wafu wote duniani.
Siku ya halloween Duniani ilitangazwa rasmi tarehe 31, mwezi wa kumi ,mwaka 1745, na Dini ya kikristo(roman) kama kilele cha siku kuu ya kuwakumbuka watakatifu na marehemu wote kwa ujumla..ambapo siku ya watakatifu duniani tarehe 1, mwez wa 9 na siku ya marehemu wengine tarehe 2,mwezi wa 9, hivyo waliamua kuifanya tarehe 31, mwezi wa 10, kama ndio kilele cha siku hizo ambapo waliunganisha siku hizo na kuifanya iwe siku ya kuwakumbuka watakatifu na marehemu wote.
baada ya wakristo(roman) kuanzisha, siku hiyo, baadhi ya tamaduni nazo zika ifanya iyo siku kuwa kama siku yao kwa wafu , mfano tamaduni ya paganism(pagan) ambayo inajumuisha uchawi na uganga , nao pia waliunganisha tamasha lao la Celtic harvest(tamasha la kipagan/uchawi linalo husisha matambiko)katika tarehe hiyo 31.
Pia kuna Dini kama satanism(din ya mlengwa wa kushoto/shetani) nayo walia ungansha siku hiyo ya tarehe 31 mwez wa 10, ya kumsifu shetan, (kafara). Siku hii inahusisha mambo mbali mbali kufanyika, mfano katika dini ya kristo(roman), wao wana azimsha kwa kutembelea na kufanya usafi katika makaburi ya marehemu, kufanya shughuli za kanisani, kufanya ibada za wafu na kuto kula nyama siku hiyo.
Tamaduni zingine kama paganism na satanism, wao wana azimisha siku hiyo kuanzia usiku kwa kutembelea sehemu zile za kutisha, kuangalia film za kutisha , kusimuliana story za kutisha..Kuvaa mavazi ya kutisha yenye ishara ya kifo mfano Grimriper.
Kuchoma moto vitu vya zamani wakati wa usiku(bonfires). Tamaduni za watu wa kawaida wasio fuata dini, wao wana azimisha siku hiyo kwa michezo mbali mbali kama apple bobbing na kutembeleana usiku hususani kwa watu ambao hauna mazoea nao. 👆Hiyo ni video ya neymar na mbappe, katika kuazimisha siku ya hallowen 31/9/ mwaka huu 2018..ambapo walihusishwa kuwepo katika tamaduni ya satanism kutokana na ishara za vidole zinazotumiwa na dini hiyo.
No comments:
Post a Comment