Nchini Turkey kuna mchezo unaoitwa "Girl chasing" , huu ni mchezo unaochezwa kati ya mwanamke na mwanamme, ambapo mnakuwa mnakimbia na kushindana kwa kutumia farasi, Endapo mwanamme akashinda ,ana pata Busu/kiss kutoka kwa mwanamke na endapo mwanamke akishinda mwanume unapigwa viboko vya mgongo.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment