Sober Sue.
Huyu aliishi miaka ya 1900s, Nchini marekani, katika Jiji la Newyork City, ni mwanamke aliejichukulia umaarufu , Nchini humo kuanzia miaka ya 1907, baada, ya watu kujua maisha yake kupitia tamasha.
Usicho kijua kwa huyu ni kwamba , alikuwa hacheki toka kuzaliwa kwake, kitu ambacho kili washangaza wengi,na kuandaa matamasha mbali mbali ya kutafuta mtu ambae angeweza kumchekesha au jambo ambalo lingeweza kumchekesha , lakini ilishindikana.
Maboss, wengi wali toa dau la pesa , ikiwemo Tz, milion 10,mpaka Ishirini , kwa atakae weza kumchekesha Sober, lakini hakuna aliefanikiwa.
Ilifika kipindi wali itwa mpaka wachekeshaji mashuhuli, na maarufu , kwa ajili ya kumchekesha Sober lakini hawakufanikiwa.Baada ya kufanya uchunguzi walikuja kugundua kumbe sober ana matatizo ya uso, Yani uso wake ulikuwa umeparalize, lakini wapo walio lipinga hilo, kwasababu kama angekuwa ameparalize sura , waliamin bas hata kuongea hasinge weza kama alivyo kuwa anaweza.
Mpaka , anakufa hakuwai kucheka , wala kutabasamu hata maramoja. ✨✨MWISHO✨✨
No comments:
Post a Comment