Watafiti wamedai ubora wa chakula ndio ufunguo wa kupunguza uzito

Watafiti wamedai ubora wa chakula ndio ufunguo wa kupunguza uzito/unene na sio wingi wa chakula. Ulaji wa mboga za majani, matunda na nafaka isiyokobolewa husaidia kupunguza uzito/unene haraka.

No comments:

Post a Comment

Active Visitors

Pages