Vile umri unaongezeka ndio mifupa inavyodhoofu.

Vile umri unaongezeka ndio mifupa inavyodhoofu. Mifupa inapodhoofu inakuwa rahisi kuvunjika. Tafiti zimedai kukimbia kila siku kwa dakika 1-2 husaidia kuimarisha mifupa hasa ya nyonga.

No comments:

Post a Comment

Active Visitors

Pages