Victorian era(Death child photo)

Hii picha imepigwa wakati wa Victorian era, huko new york city marekani..miaka ya 1837-1901..ambapo walikuwa na tamaduni ya kuziweka maiti za watoto katika pozi na kuwapiga picha kama kumbukumbu. Na hao watoto katika picha ,muda ambao walipigwa hiyo picha,wote walikuwa wamesha kufa ,hivyo maiti zao zilichukuliwa na kuwekwa katika hilo pozi na picha ika pigwa.

No comments:

Post a Comment

Active Visitors

Pages