Je, kwanini wavuta sigara wengine huvuta sigara toka vijana hadi kuzeeka bila kudhurika? Watafiti waligundua wavutaji wanaoishi hadi umri mkubwa wana chembe za urithi (jeni) maalum zinazo chochea maisha marefu ila bado uvutaji sigara ni hatari kwa afya yako.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment