Ulaji wa vyakula vyenye mafuta haviwezi kukufanya mnene kupita kiasi kama ulaji wa vyakula vya wanga hasa vyenye sukari.

Je, wajua? Ulaji wa vyakula vyenye mafuta haviwezi kukufanya mnene kupita kiasi kama ulaji wa vyakula vya wanga hasa vyenye sukari. Mwili unahitaji mafuta ili kutenda kazi zake vizuri. Mafuta ni muhimu kwa ajili ya kuganda kwa damu unapojikata & misuli kujongea.

No comments:

Post a Comment

Active Visitors

Pages