Ukitaka kupungua uzito, acha kula au punguza sana vyakula vyote vyenye asili ya wanga na utumie vyakula vyenye protini (nyama, samaki), mboga za majani na matunda. Pia usinywe vinywaji kama soda na pombe zenye asili ya wanga na sukari kama bia.
Ukitaka kupungua uzito, acha kula au punguza sana vyakula vyote vyenye asili ya wanga n
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment