Tulsa's Circle( mzunguko wa tulsa)/ the center of universy.

Tulsa's Circle( mzunguko wa tulsa)/ the center of universy.
Hii ni sehemu, ya duara ndogo, inayo patikana katika, mji wa Downtown Tulsa, nchini Marekani..hii sehemu huaminika kama katikati ya dunia kutokana na maajabu ya sehemu hiyo.
Usichokijua ni kwamba , mtu ukisimama kwenye duara hilo na ukaongea , utaisikia sauti yako ikijirudia kama mwangi kwa sauti ya juu zaidi, na chakushangaza wale walio nje ya duara hilo hawato iskia sauti yako ata useme kwa saut ya juu...pia mfano mtu ukiwa ndani ya duara hilo, na ukatoa ushuzi/fart , waliopo nje ya duara hilo hawato sikia harufu, ila mwenyewe utaiskia tena harufu kali zaidi kihasi kwamba unaweza kukosa Oxygen....

No comments:

Post a Comment

Active Visitors

Pages