Baadhi ya mateka baada ya muda hujenga mahusiano ya karibu na waliowateka na kuanza kuwahurumia. Hii imepewa jina la Stokholm Syndrome ambapo kwa mara ya kwanza ilishuhudiwa 1973 Sweden waliokuwa mateka waliwatetea watekaji wakati wa zoezi la uokozi.
Stokholm Syndrome
STORY
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment