Shinikizo la damu ni msukumo wa damu kwenye kuta za mishipa. Shinikizo la damu ni muhimu kwa ajili ya kusukuma damu katika sehemu zote za mwili. Jedwali la viwango vinavyofaa vya shinikizo la damu kulingana na chama cha madaktari wa moyo Marekani.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment