Sekunde 8 Tu Ambazo Ni Kelele za Chini

Mwanamuziki Taylor Swift amewahi Kuachia Kwa Bahati Mbaya Kipande cha sauti Ambacho Kilikua Na Sekunde 8 Tu Ambazo Ni Kelele za Chini mfano kama ukiwa Unatune Kutafuta Station ya Radio Zilikua Zikisikika. Nchini Canada Sauti Hiyo ilikamata Namba 1 Katika Chati Za iTunes.

No comments:

Post a Comment

Active Visitors

Pages