Mpaka hivi sasa,wanasayansi na watafiti wote duniani, wamefanikiwa kufanya utafiti kuhusu bahari(OCEAN) na maziwa(Lake), na kwa kipindi chote hicho katika utafiti wao , wameweza kutambua 5% tu, ya eneo lote lililo chukuliwa na maji duniani...Na katika dunia ,maji pekee yana chukua 70% , huku ardhi(land), ikiwa na 30 % tu.
Na katika hiyo 70% , ya dunia, bina damu tumefanikisha kuijua ,kwa 5% ,tu..hivyo ukichukua 70% -5%=65%. kwahyo mpaka hivi sasa ,binadamu tumeweza kuijua dunia kwa asilimia 45% tu, na kwa asilimia 65% , hakuna anae jua. sasa kutokana na hivyo ,wanasayansi wana amini kwamba , katika bahari na maziwa ,kuna viumbe vingi ambavyo bado hatu vijui na wenda vipo viumbe vikubwa kuliko Nyangumi..kama Megalodon.
sasa..swali la kujiuliza, kama wanasayansi wameshindwa kuijua dunia ambayo tunaishi wenyewe kwa 65% , wana wezaje kwenda katika space mfano mwezini, au katika sayari nyingine??..... Wapo wanao amini kwamba , izo safari zao za kwenda mwezini ni fake(uwongo), hivyo za kutengeneza.
Sciences does no 95% in water(Ocean)
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment