sababu zinazokufanya uongeze siku za kuishi kwa sababu ya kufanya tendo la ndoa

Baadhi ya sababu zinazokufanya uongeze siku za kuishi kwa sababu ya kufanya tendo la ndoa:
1. Inaunguza mafuta na vyakula mwilini kukupa nguvu (calories)
2. Inasaidia kusawazisha mfumo wa homoni
3. Inasaidia usambazaji wa damu mwilini kuwa mzuri.
4. Inakufanya uwe na akili inayofanya kazi vizuri pasipo msongo wa mawazo.
5. Inapunguza hatari ya kupata saratani ya matiti na ya tezi dume.
n.k

No comments:

Post a Comment

Active Visitors

Pages