Sababu za Mtoto kulia na kupenda kelele

Je, wajua? Ukiweka kelele kidogo kwa mtoto anaelia anaweza kuanza kutulia kwa sababu atahisi kama amerudi tumboni. Tumboni huwa kuna kelele ambayo amezizoea na zilimfanya atulie sasa baada ya kuzaliwa huwa bado wanapenda zile kelele.

No comments:

Post a Comment

Active Visitors

Pages