RED EYE EFFECT......

Ile Hali Unapiga Picha Macho Yanatoka Mekundu😂.
Huwa Inatokea Kama Umepiga Picha Sehem ambayo Haina Mwanga Wa Kutosha Af Wakikupiga Picha na Flash Iko On Pale Macho Yako Yatalazimika Kukodoa Ili Kuamuru Mwanga Uweze Kupita Sasa Kweny Iris pia Huongezeka Ukubwa pia Sasa Huu Mwanga Huwa Unaenda Moja Kwa Moja Na Kuakisi Mishipa ya damu nyuma ya jicho lako Hivyo Kupelekea Rangi Nyekundu Kutokea 😂. Epuka Kupiga picha sehem ya Mwanga Mdogo ,Au Mpiga Picha Aweke On Anti-RedEye

No comments:

Post a Comment

Active Visitors

Pages