RAINYMOOD....

Ushawahi Kutembelea Hii Website Inaitwa RAINYMOOD.COM Ukiingia Utabonyeza Sehemu Na Utaanza Kusikia Kama Mvua Inanyesha Nje. Watu Wengii Huwa Wanaitumia Sana Wakiwa Wanatafuta Usingizi au Wanataka Kujisomea Wanaingia Hiyo Website Na Kuanza Kujisomea Wengine Wakitaka Kurelax Huwa Wanaingia Rainymood.com Wakihis Kile Kihali Cha Mvua Wanarelax Wengine Hulala Kabisa.

Kama Nawaona Mnavokimbia Kujaribu😂😂 Fanyeni mje Mtoe Majib Maana Kuna Wengine Hawaamini Mpaka Waone na Wasikie Pia.

No comments:

Post a Comment

Active Visitors

Pages