POMPEII in Roma

POMPEII Ulikuwa mji wa Roma ya Kale uliopo katika Italia ya kusini karibu na mji wa Napoli ya leo.
Mlipuko wa volkeno mlima Vesuvio uliotokea tarehe 24 Agosti 79 BK ulifunika mji wote.pamoja na mji wa jirani Herkulaneo na ganda nene la majivu na zaha (lava). Nyumba pamoja na vifaa zilihifadhiwa vizuri sana chini ya majivu zinaleta picha nzuri ya maisha ya Roma ya Kale.
Katika historia ya kale, kabla ya yesu miaka 474-525BC, pompei ilikuwa ni tawala ya greek..ni mji uliojengwa zamani sana, ambao ulikuwa ni mji wa kibiashara na watu wengi walikuwa wakiishi apo.
Mjini pompeii palikuwa na uwanja , mkubwa sana , amabao ulikuwa unatumika kwa maonyesho kama ya kivita, au mapambano mbali mbali ya watumwa.
Kalibu na mji wa pompeii, kulikuwa na mlima vesuvuo, ambao ulikuwa na volkano , iliyo kuwa ina chemka kwa kipindi hicho chote, lakini watu wa pompei walipuuza hilo.
Kulikuwa na dalili mali mbali ambazo , zilikuwa zina wapa tahazari watu wa mji wa pompeii , wahame eneo hilo, mfano, matetemeko ya ardhi, yaliyo sababishwa na mjongeo wa magma , nyumba nyingi zili pata nyufa na walikuwa wana ziona lakini watu wa pompeii hawakutaka kuama.
Wapo watu wachachesana baada ya kuona hali hiyo, waliuza vutu vyao na kuondoka eneo hilo mpema.
Ndipo mwaka 79BK, usiku, mlipuko wa volkano katika mlima wa vesuvio, ulipotokea , na lilikuwa ni janga kubwa kwa wakati huo, kwasababu vumbi, la moto wa volkano lili ufunika mji wote na kusababisha vifo kwa watu wote waliobaki hapo.
Baada ya miaka mingi, kupita karne ya 18, serikali , ya Itary, wali fukua mji huo...na cha ajabu walikuta mabaki ya vitu vingi, ikiwemo miili ya watu waliokuwa wamekauka baada ya kuungua na volkano hiyo katika style mbali mbali hii.
Hii ilionyesha kila mmoja , tukio la mwisho alilo kuwa akilifanya wakati wa kufunikwa kwa vumbi hilo la moto wa volkno.
Wengine walionekana wapo kitandani wamelala, wengine walikufa wakiwa katika shughuli mbali mbali.
mfano pichani hapo juu , huyo ni mwanaume ambae alifunikwa na vumbi la volkano , akiwa ana masturbating/ punyeto.
Kwasasa sehemu hiyo, ilitangazwa na UNESCO , kama ni moja ya Urithi wa dunia.

No comments:

Post a Comment

Active Visitors

Pages