PART 5; NEW WORLD ORDER(NWO)/UTAWALA MPYA WADUNIA.

Kama nilinivyo eleza, katika makala , iliyo pita kuhusu New world order(NWO). Jambo lingine muhumu , linalofanywa na hawa washirika wa Mpango wa New World order, kupitia ILLUMINAT ni: ✨KUSABABISHA VITA YA TATU YA DUNIA (Third world war). Hii ni hatua muhimu sana kuliko zote, na wakisha fanikisha hatua hii, kuna uwezekano kwa 100% , lengo lao kutimizwa.

Nahii njama ya vita ya tatu ya dunia, saizi imekuwa na mashiko sana,kwasababu mpaka sasa watafiti wana amini , kuna uwezekano wa 78% , kutokea kwa vita ya tatu ya Dunia kabla ya kufika , mwaka 2030.

Hii ishu ukiangalia kwa undani, kweli kabisa kuna uwezekano mkubwa sana..Nahii ishu inasimamiwa na Mataifa makubwa ambayo yapo katika mpango huo, kama vile Marekani, urusi, uingereza na ujeruman..pia Umoja wa mataifa (UN). Saizi kumekuwa na chokochoko sana ,juu ya haya mataifa makubwa , na majigambo meng sana baina ya wao kwa wao, mfano, saizi tunaona kabisa uingereza na urusi hawapatani kabisa, mara tunaskia marekani nae juzijuzi apa amevumbua ndege yake ya kivita F-35 ambayo ina uwezo wa juu zaidi.

Upande mwingine, tunaskia ugomvi kati ya marekani na korea kaskazini juu ya mabomu ya nyuklia na hii wanaifanya ili kuwakandamiza mataifa yanayo endelea ilikusudi watakapo leta vita hiyo iwe rahisi kuangamiza mataifa hayo ambayo yanaenda kinyume nao na kufanya wao waendele kuwa tegemezi..Uingereza nae anajitoa katika umoja wa ulaya.. Sasa ayo yote yanafanywa ni kwa ajili ya kupumbaza watu, huku umoja wamataifa unajifanya kuingilia kati na kuweka vikwazo.lakini hayo yote yapo katika mipango, na katika vita hivyo, wanazitumia nchi ndogo ambazo hazina nguvu ili iwe kama kutafutia ka sababu, mfano sirya, parestina n.k.

Na amini una ambiwa katika vita hiyo zaid ya robo tatu ya watu duniani watakufa, kwasababu itakuwa vita zidi ya binadamu na viumbe wa ajabu walivyo vitengeneza, na matumizi ya nyuklia bomb.

Sasa wakisha fanikisha hili watakuwa wamemaliza mchezo kwasababu , watakuwa wame uwa uchumi wa dunia na kuyafanya yale mataifa yaliyo kuwa na nguvu ambayo hayapo katika mlengwa wao, kuishi kwa kuwategemea wao. ✨✨ITAENDELEA✨✨✨

No comments:

Post a Comment

Active Visitors

Pages