PART 5; FALLEN ANGEL(Malaika alie tupwa toka mbingu)

Orodha ya Malaika walio tupwa toka Mbingu baada ya Kuasi.
SORATH;Kama nilivyo ongelea kuhusu huyu fallen angel soroth, marufu kama 666.
Mambo yote mabaya yanayo fanyika hapa saizi Dunian ni kwa ajiri ya kumuandaa huyu 666, Tunapo ongelea Illuminat na mpango wao wa New Word order (NWO)/ utawala mmoja wa dunia ni kwamba tunamuongelea huyu.
Kuna baadhi ya tamaduni , wao wana amini huyu Sorath, na lucifer ni mmtu mmoja , pia kunavitabu kama bibilia , agano jipya kime tofautisha kati ya lucifer na 666.
Katika bibilia , imeeleza kama lucifer ndio mwenye nguvu zaidi, lakini punde atakapo kuja huyu sorath(666) lucifer na fallen angel wote wanye nguvu wata mkabithi nguvu zote huyu na kumfanya aketi katika kiti cha enzi cha mashetani , kilichokuwa kina kaliwa na lucifer.
Nukuu, katika bibilia, Ufunuo 13(1-18), inasema " Kisha nikaona mnyama akitoka katika bahari, mwenye pembe kumi, na vichwa saba, na juu ya pembe zake ana vilemba kumi,na juu ya vichwa vyake majina ya makufuru. Nayule mnyama nilie muona alikuwa mfano wa chui na miguu yake ilikuwa kama miguu ya dubu,na kinywa chake kama kinywa cha simba .Yule joka akampa nguvu zake na kiti chake cha enzi na uwezo mwingi" 
katika hiyo nukuu kutoka katika bibilia , tuna ona joka ambae ni lucifer/shetani, baada ya kuja 666 atampa nguvu zake na kitichake cha enzi naye atakuwa na uwezo mwingi.

Hiyo ni orodha fupi ya Fallen angel, ni meandika wale ambao wana madhara makubwa kwa sasa apa duniani , japo wapo wengi sana kama miambili hivi.
mfano, Naberius(huyu ni demon), amy(huyu anajulikana kama rais wa jehanamu/president of hell), Apollyon(huyu ni fallen angel wa kifo , maarufu kama Grim reaper/mkusanya roho za watu), lilith(huyu ni fallen angel kuna baadhi ya tamaduni zina sema huyu alikuwa mke wa kwanza wa adamu) n.k. MWISHO


No comments:

Post a Comment

Active Visitors

Pages