PART 4; NEW WORLD ORDER(NWO)/UTAWALA MMOJA WA DUNIA.

Sasa jambo lingine ambalo,lina fanyika katika njama hiyo, kupitia hawa illuminat na washirika wake wa mpango huo wa kusimika Utawala mmoja.(New World Order) ✨Kuharibu mfumo mzima wa Uchumi wa dunia..Hii njama imekuwa ikifanyika ,kwa miaka mingi..kupitia washirika wake..Kwanza kabisa tambua kwamba Kalibia Benki zote na mashirika yote makubwa ya kifedha ,yana endeshwa na hawa illuminat, mfano,Benk kuu ya dunia,shirika la kifedha la Rothchild( ambalo pekeake tu ,lina daiwa kuwa na utajiri wa fedha zaidi ya dola za kimalekani tillion 700) na Rockfeller.

Sasa ni vipi hawa ,illuminant wana haribu uchumi wa dunia..! 👉Zipo njia nyingi sana ,wanazo zitumia ,na hizi njia zimegawanyika katika makundi mawili,kulingana na ukubwa wa mataifa.

mfano; kwa nchi hizi zenye uchumi mdogo na zinazo endelea,wana anzisha mogogoro katika hizo nchi, mfano ya kisiasa, na kusababisha vita ambae ndio adui mkubwa wa uchumi.

Usicho kijua ni kwamba hawa jamaa mpango wao ni kuanzisha ,vita ya tatu ya dunia ili kuya weza yale mataifa makubwa ambayo yana beba uchumi wa dunia,na ikisha piganwa hiyo vita ,haya mataifa yata shuka sana kiuchumi, ndipo wao sasa watakapo ingia kati, kupitia mashirika yao ya fedha ,na wakati huo sasa wao ndo watakuwa na fedha na power kubwa hivyo kuifanya dunia iwe chini yao.

Sasa kupitia mpango huo,hawa jama wana ona mbali sana ,kwasababu wakati huo,mataifa makubwa yatakapokuwa yana pigana vita,kuna nchi ambazo hazita husika katika vita hiyo ,haswa Afrika,sasa ikisha kwisha vita Uchumi utaporomoka sana kwasababu ,vyanzo vingi vita haribiwa.

Na kwakua nchi ninyi za Africa hazita pigana ,hivyo ,Africa itakuja juu kwa uchumi na kuwa kikwazo ,kwao..kwahiyo wanacho kifanya ni kuharibu Africa kupitia migogoro,pia kuwa ondoa madarakan wale viongoz ambao wanaonekana kuwa na maono ya mbali kama gadafi na mugabe ,kwasabbu hawa jamaa walikuwa na maono ya mbali ndoma mpaka sasa unakuta africa nchi nyingi zina migogoro.

Wanafanya hivyo lengo lao ,litakapo tokea poromoka la uchumi duniani,zisiwepo nchi ambazo zitakuwa na uwezo ,zaidi yao ili wa elekee katika kutimiza lengo lao la "NEW WORLD ORDER" ......ITAENDELEA.

No comments:

Post a Comment

Active Visitors

Pages