paka hutambua sauti kwa ufasaha

Watafiti wa Japan, wamethibitisha kuwa paka hutambua sauti kwa ufasaha za wale wanaowamiliki ila hujikausha tu wanapoitwa wakiwa hawataki.

No comments:

Post a Comment

Active Visitors

Pages