Usicho kijua ni kwamba ,baada ya marekani kumu uwa, OSAMA BIN LADEN, mahali apo alipo kuwa anaishi, walikuta Computer, ambayo ilikuwa na folder la siri lenye mafaili zaidi ya 470,000..,Walip
o fungua mafaili hayo ,asilimia kubwa walikuta ,Video za mr.bean, inasemekana muda mwingi, OSAMA ,alikuwa anaangalia video za mchekeshaji maarufu,Mr bean.
OSAMA VS Mr Bean
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment