NEW WORLD ORDER(NWO)/ UTAWALA MPYA WA DUNIA
-Hii hujulikana kama ni mbinu ya utawala mpya, wa Dunia, ambapo dunia itaendeshwa kwa mfumo mmoja katika nyanja zote ,kama vile, Dini,Elimu,Afya
,Uchumi, Ulinzi,uongozi na maisha kwa ujumla..Neno New world Order(NWO),hili lilikuwa na mashiko sana miaka ya 1935,ambapo nchi ya marekani ilipata uhuru wake na kuwa nchi inayo jitegemea ,hii ilitokea baada ya marekani ,kutumia mchoro wa pembe tatu,wenye jicho ,marufu kama "Novous Ordo Seclorum" kwenye noti ya Dollar, wakiwa na maana ya "New world Ages" ,ambapo huo mchoro wa Novous Ordo Seclorum, ulikuwa unadaiwa kutumiwa kama alama na kundi la ILLUMINAT.
Tunapo ongelea kuhusu New world Order, lazima tuwa husishe Illuminat ambao wao ,inasemekana ndio ,wahusika wa kuu na ndio wapangaji wa mipango yote inayo husu New world Order(NWO). Illuminat, hujulikana kama ni kundi la watu marufu, wenye nguvu katika dunia,ambao wana thibiti masuala yote ya kiutawala ili kuipeleka dunia katika mfumo mmoja, wa kiutawala marufu kama "NEW WORLD ORDER"..Hili kundi la illuminat lilianzishwa miaka ya 1776, huko ujeruman, na kuenea kwa kasi,enzi za kuelimika na kustaarabika kwa Ulaya miaka ya 1815, ambapo lengo la kuanzishwa kwa kundi hili lilikuwa ni kupinga na kuharibu mifumo yote ya kidini haswa dini ya katoriki, na kutaka dunia iongozwe katika utawala mmoja ambao utakuwa na dini moja ,watakayo unda wao ambayo ni ya kuabudu shetani.
Sasa ili kutimiza lengo lao ,Illuminat walikuja na mpango , walio ubatiza "NEW WORLD ORDER",ambao ndio tunao uongelea..New word Order(NWO),huu mpango ,unahusisha ,mambo mengi sana ambayo yapo ndani ya njama hizo ili kutimizwa kwa Utawala huo..Ikiwemo ,international bankers,Oil baron,mashirika ya Dawa(phamarceut
ical),NASA,Umoja wa mataifa na mashirika yake kama,(WHO),NATO,ROYAL FAMILY ( Rothchild na Rockfeller),Fre
emason,AREA 51,GENIVER AIRPORT ,Nchi zote zilizopo katika G7/G8,viongozi wa nchi mbalimbali ,wote wana fanya kazi chini ya njama hiyo na kiongozi yeyote atakae enda kinyume na mpango huo,ana uwawa . mfano John kennedy(marekan),Ali bhutto(Pakistan) na Aldo moro(Italy). .
wahusika wengine ambao wapo ndani ya njama hiyo...Ni mashirika makubwa ya intelijensia/usalama na ulinzi(FBI,CIA,
Mossad n.k),vikundi vingi vya kigaidi(Al QAEDA,ISLAMIC STATE,ISLAMIC JIHAD n.k),na mashirika makubwa ya Films/
movies(Marvel studio,20th Century Fox,Walt disney,Universal studio,n.k), Wasanii wakubwa(wanamuziki,waigizaji n.k) na mashirika mengi makubwa..Hawa wote wana fanya kazi ndani ya njama hiyo ya kusimika utawala mmoja wa dunia ,(NEW WORD ORDER). MAMBO MUHIMU YANAYO FANYIKA KUELEKEA KATIKA NEW WORLD ORDER(NWO)/UTAWALA MMOJA WA DUNIA KUPITIA WASHIRIKA WA MPANGO HUO ,NDANI YA ILLUMINAT. Kupunguza idadi ya watu,haswa kuwa uwa wale ambao wapo kinyume na njama zao ,ili kubaki na wale ambao wapo katika mlengwa wao,ili waweze kuwa Control..hili jambo limekuwa likifanyika kwa miaka mingi,na hii njama inatekelezwa na washirika wake ,kama vile NASA,hawa wana punguza idadi ya watu kupitia ,mtambo mkubwa wa HAARP(high freequency active auroral research program) ambao unadaiwa kutengeneza matetemeko na tsunami kubwa ambazo zimetokea duniani na kuua watu wengi.
pia vikundi vya kigaidi kama Al qaeda na ISS, sisi tunajua hivi vikundi vinapinga serikali ,kumbe nyuma ya pazia sio,hawa wote wana fanya kazi pamoja katika kupunguza idadi ya watu.wana wambia hivi vikundi vianzishe vita sehemufulani kama kuteka raia,ili serikali ijifanye kuingilia kati na kuanzisha vita ,na katika hiyo vita, mataifa makubwa yenye silaha yataingilia kati na kinachotokea sasa ni matumizi ya silaha kubwa ,na katika hiyo vita sasa wanao kufa ni raia wengi wasio na hatia kuliko wao,na wakisha fanya hivi tayari lengo lao la kupunguza idadi ya watu linakuwa limetimia.
pia wana punguza idadi ya watu kupitia ,Magonjwa..kuna magonjwa kama UKIMWI Na EBOLA, haya magonjwa yametengenezwa na wao ,ili kusudi kutimiza njama zao za kupunguza idadi ya watu duniani.
pia kupitia vita kama vita ya kwanza na ya pili ya dunia,uchafuzi wa hali ya hewa,ajari kupitia vyombo vyao,kama juzi tu apa kuna ndege imedondoka indonesia,pia tunakumbuka ata apa kwetu ile ajari ya MV nyerere n.k.
Mambo muhimu ambayo yana fanyika kuelekea katika kusimikwa kwa Utawala mmoja wa dunia yan NEW WORLD ORDEL(NWO). Sasa ,jambo lingine muhimu linalofanywa na washirika wa mpango wa Utawala mmoja(NEW WORLD ORDER) kupitia Illuminat ni. Kuunda mfumo ,wa kuthibiti kila mtu ,ili kuwafanya watu washindwe kuamua hatima ya maisha yao..mfumo huu unahusisha ,mbinu za kutengeneza kitu ambacho kitakuwa na uwezo wa kutambua fikra za mtu,kupitia vitu ambavyo vitapandikizwa katika kila ubongo wa Bina damu pasipo yeye kujua...na kwa asilimia 30% tayari ,hii njama imefanikiwa na amini na kwa mbia ,hapa duniani saizi wapo watu ambao tayari wamesha kuwa controlled na hawa watu... hii njama ya kuthibiti kila mtu,kwanza kabisa wanachokifanya ni kuharibu mfumo mzima wa ubongo,mfano..wana haribu mfumo wa kumbukumbu na kukufanya mtu ,ushindwe kukumbuka mawazo au vitu ambavyo umevitenda na kukuamrisha ufanye mawazo yao..na hii wanaifanya kupitia washirika wao ..mfano tovuti kama google,youtuble,operamini n.k..kupitia mitandao ya kijamii kama Facebook,Instagram,whatsapp n.k..kupitia vitu mbali mbali kupitia misaada kama ,Chanjo ,dawa,vyakula n.k na mengine mengi.
Haya yote niliyo ya taja ,kila moja linafanya kazi yake..mfano google,usicho kijua ni kwamba ukitumia mtandao wa google zaidi ya mara moja ,tayari ,wanakuwa wamesha kujua vizuri na pale unapo andika kitu labda alafu unabonyeza pale kwenye kitufe cha search/tafuta,jua kwamba pale wew ndo umekuwa wa kwanza kutafutwa na wao ndipo wanapokuletea sasa unachokitafuta ndomana unakuta ukitumia google au youtube ,endapo ukawa unapenda sana kutafuta habari labda za siasa, bas utakuta kila unapo fungua google au youtube ,wana kuletea habari hizo tu...hiyo kwasababu wana kuwa wamesha kufahamu vizuri...
No comments:
Post a Comment