Mwanamke wa gharama zaidi barani Afrika

Nyalong Ngong Deng Jalong ndiye ni mwanamke wa gharama zaidi barani Afrika kwa sasa, inatajwa kuwa mfanyabiashara mmoja anataka kumuoa na ametoa ng'ombe 500, magari matatu aina ya V8 kama mahari yake.
Msichana huyu anapatikana kusini mwa Sudan na mpaka sasa wanaume watano wameomba kumuoa.

No comments:

Post a Comment

Active Visitors

Pages