MOUNT KELIMUTU....

Huko Indonesia Kuna mlima Mita hamsini Kutoka Mji Wa Moni unaojulikana Kwa Jina la Mlima Kelimutu. Juu Ya Mlima Huo Kuna Maziwa Matatu Yenye Rangi Rangi Tofauti Tofauti Kama Nyekundu , Kijani , Udongo. Katika Mji Na Vijiji Jirani na Mlima Watu Wanaamini Kwamba Juu huko Kwenye Hayo Maziwa Ni Makazi Ya Mizimu Na Roho za Watu Waliokwisha Kufa.

Maziwa Hayo Yalipewa na majina Kuna Moja Linaitwa Lake Tiwu Ata Mbupu( Kwamba Hili ni Ziwa La Wat Wazee) , Lake Tiwu Nua muri Kooh Tai (Kwamba Ziwa La Vijana ) na Lake Tiwu Ata Polo (Kwamba Ziwa La mapepo na Roho chafu). Baadhi Ya Tafiti Mbalimbali wanadai Maji Hayo Kubadilika Ni Kutokana na Kemikali za Madini Zinazopatikana Katika Mlima Huo na Wengin Husema Ni Mambo Ya Volcano Ndo Hupelekea maji hayo Kubadilika Rangi Mara Kwa mara.

No comments:

Post a Comment

Active Visitors

Pages