MLANGO WA JEHANAMU/GATE OF HELl


-hii sehemu ni mlango wa andaki , unaopatikana ,nchini TURKEY, maarufu kama "gate of hell" usichokijua huu mlango upo toka miaka 2,200, iliyopita mpaka sasa. kwa miaka yote hiyo huu mlango ulikuwa unatumiaka kuuwa aina yoyote ya kiumbe chenye damu,mfano binadamu..hii sehemu ilikuwa inatumiawa na Romani katika kutoa sadaka zao, lakin una ambiwa mpaka leo hii kiumbe chochote chenye damu ndani yake ,kikipita kwenye mlango/gate hilo kina kufa....Lakini chakushangaza akipita kuani/kasisi/imamu/padre hafi apo..
pana itwa THE GATE OF HELL.

No comments:

Post a Comment

Active Visitors

Pages