Mjue Kunguni kiundani zaidi

Kunguni ni mdudu mdogo wa familia Cimicidae katika oda Hemiptera ya nusungeli Pterygota. Anaishi mara nyingi katika vitanda ambamo hufyonza damu ya wanadamu kama chakula chake, hasa usiku. 
Jina la kisayansi: Cimex lectularius

Kunguni chakula chao kikuu ni Damu kutoka kwa Binadamu. Wana uwezo wa Kukaa zaidi ya Miezi 5 bila kula, na ndiyo sababu hata uwaache kwa muda, Ukirudi utakutana na mashambulizi ya Hatari zaidi sababu walikuwa wakikusubiri.

Wengi wanaamini Chanzo kikuu cha Kunguni ni Uchafu. Lakini Sio sababu Sababu, Kunguni Wanaishi sehemu yoyote ile ili mradi pana uwepo wa chakula basi.

Kunguni hawapendi kukaa maeneo yenye Joto. Chaajabu kwa asilimia kubwa wanapatikana katika Miji ambayo ina Joto.

No comments:

Post a Comment

Active Visitors

Pages