Miayo.

Watu hudhani wana njaa wanapopiga miayo kumbe wana uhitaji wa maji. Mwili kuwa na maji ya kutosha husaidia kupunguza uchovu, njaa na kuchochea umetaboli (hali ya ujenzi na uvunjavunjaji wa kemikali mwilini). Maji hufanya mwili kufanya kazi zake kiufanisi zaidi.

No comments:

Post a Comment

Active Visitors

Pages