Marcel Petiot baada ya kutambulika kuwa ndie muuaji wa Watu kadhaa, alichofanya ni kufuga ndevu na kujiunga na Polisi akitumia jina la Captain Valery.
Mojawapo ya Kazi baadae aliyopewa akiwa Polisi ni kumsaka 'Marcel Petiot' hadi baadae alipokuja Kugundulika na polisi wenzake kuwa ndie Marcel
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment