Mafua yanaweza Kuua pia.

Ingawa mafua ni hatari zaidi kwa watu wazima wenye umri wa miaka 65 & watoto chini ya miaka 5, ila yanaweza kusababisha kifo kwa mtu wa umri wowote. Wataalamu wanadai mafua husababisha kifo kwa kufanya mwili kupungukiwa maji na kusababisha matatizo makubwa ya upumuaji.

No comments:

Post a Comment

Active Visitors

Pages