Madhara ya Tumbaku.

Matumizi ya bidhaa za tumbaku mfano sigara huongeza hatari ya maradhi ya moyo na kupanda kwa shinikizo la damu. Inakadiliwa nusu ya watumiaji wa bidhaa za tumbaku hufa mapema kabla ya umri waliotarajiwa kuishi.

No comments:

Post a Comment

Active Visitors

Pages