Kumtenganisha mtoto mdogo na mzazi hasa mama yake humuathiri kisaikolojia

Je, Wajua? Kumtenganisha mtoto mdogo na mzazi hasa mama yake humuathiri kisaikolojia na kumfanya baadae katika maisha yake kuwa na sonona/huzuni kubwa (depression), wasiwasi (anxiety), matumizi ya dawa za kulevya na kuwa mfanya fujo zinazoweza kudhuru wengine.

No comments:

Post a Comment

Active Visitors

Pages