Kukosa usingizi kwa muda mrefu huongeza hatari

Kukosa usingizi wa kutosha huathiri hali (mood), uwezo wa kufikiri na hamu ya chakula. Kukosa usingizi kwa muda mrefu huongeza hatari ya kuanguka ghafla, uzito kupita kiasi (obesity), kisukari, kupanda kwa shinikizo la damu na maradhi ya moyo.

No comments:

Post a Comment

Active Visitors

Pages