Katika Misri ya zamani(Anciety Egyptian) kabla ya YESU. ( BC), kulikuwa na tamaduni.
Endapo , mkuu wa kaya flani akifa, mfano..Mfalme, usichokijua ni kwamba , kama alikuwa na wasaidizi/ wafanyakazi na wanyama, basi nao watazikwa pamoja na mkuu wao , hivyo hivyo wazima bila mapingamizi...

No comments:
Post a Comment