Kama Usiku Umeshindwa Kupata Usingizi Una Shauriwa Kukapua(Blinking) Macho Haraka Haraka Kwa Dakika Kadhaa Itakusaidia Kupata Usingizii . Itakusaidiaje Kupata Usingizi Kama Unavyojua Mwili Huwa Una Relax Mtu anapopatwa na usingizii sasa Kile Kitendo Cha Kukapua Harakaharaka Kitaichosha Misuli Ya Machoo Mpka Unamaliza Itakua Imeshachoka Hivyo Itahitaji Kulegea na Kupumzika na Ww Utafanikiwa Kupata Usingizii maana taarifa zitatumwa kweny ubongo kwaajili ya kufanya misuli ipooze hivyo utapatwa na usingizi .
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

No comments:
Post a Comment