Kabila la Dani, Indonesia.
- Wanaume hawavai nguo. Wanaficha uume tu kwa kuvalisha pembe kulingana na ukubwa wa uume.
- Wanawake wanavaa sketi za magome ya miti na nyasi. Juu hawafuniki.
- Wanawake hukata vidole vyao pale waume zao wanapokufa ili vizikwe nao.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment