Kabila la Baline nchini India

Kabila la Baline nchini India lina musimu maalumu wa kung'arisha na kuziba meno. Kila mtu wa kabila hilo hung'arisha na kuziba meno katika maisha yake. Wanaamini kuwa asiyefanya hivyo atakuwa na mikosi na mungu wao atamuona kama mnyama siku ya mwisho.

No comments:

Post a Comment

Active Visitors

Pages